Je Arsenal itaweza kuchua Treble?
Sisti Herman
March 23, 2026
Share :

Mashabiki Arsenal juzi tu walikuwa na ndoto za kutwaa mataji yote manne wanayoshindania (QUADRUPLE) kama;
1. Ligi Kuu Uingereza
2. Kombe la FA
3. Kombe la Ligi (EFL Carabao Cup)
4. Uefa Champions league
Hadi sasa kombe moja kati ya hao limeshaenda kwa Man City
Bado wana nafasi ya kutwaa matatu yaliyobaki (TREBLE)
Je wataweza Kubeba yaliyobaki?





