pmbet

Je uko tayari kujiuzulu kuinusuru timu? Carrick: “Hilo halitatokea”

Eric Buyanza

November 9, 2026
Share :

Kocha mkuu wa Manchester United F.C., Michael Carrick, amesisitiza kuwa hana mpango wowote wa kujiuzulu kibarua chake, licha ya klabu hiyo kuendelea kupitia kipindi kigumu cha matokeo mabaya.

 

Katika mahojiano mazito na kituo cha Sky Sports, Carrick aliulizwa ikiwa anafikiria kujiuzulu kwa manufaa ya klabu.

Akajibu kwa kifupi na kwa msisitizo akisema "Hilo halitatokea."

 

"Hatujashinda mechi za kutosha, lakini nitaendelea kufanya kazi, kurekebisha mambo na kupata matokeo."

 

United wapo katika eneo la hatari ya kushuka daraja wakati ligi ikisimama kupisha mechi za kimataifa, mchezo wao unaofuata ni dhidi ya Liverpool kwenye uwanja wa Anfield. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet