JE WAJUA: 75% ya Ubongo wako imeundwa na maji
Eric Buyanza
July 2, 2024
Share :
Takriban 75% ya ubongo imeundwa na maji, hii ina maana kwamba upungufu wa maji mwilini hata kwa asilimia 2 unaweza kuwa na athari mbaya juu ya kazi za ubongo.
Upungufu wa maji mwilini na upotezaji wa sodiamu na elektroliti kunaweza kusababisha mabadiliko makubwa katika kumbukumbu na umakini.