pmbet

JE WAJUA: Alishiriki shindano la mwanamke mbaya duniani, ili apate hela ya kutunza familia

Eric Buyanza

March 25, 2024
Share :

Mary Ann Bevan mwanamke raia wa Uingereza alizaliwa mwaka 1874 na mwaka 1902 aliolewa na kuzaa watoto wanne.
 

Mwaka 1914 baada ya mume wake kufariki na maisha kuwa magumu alikubali kutumika kwenye maonyesho mbalimbali kama mwanamke mwenye sura mbaya zaidi duniani ili aweze kupata fedha za kujikimu na kulea watoto wake.

 

Usilolijua ni kwamba Mary hakuzaliwa hivyo alikuwa mrembo kabisa, lakini ugonjwa wa ajabu ulimtokea na baada ya muda akajikuta kwenye hali hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet