JE, WAJUA: Dogo alikutwa jangwani peke yake akikimbia vita akitoka Syria kuelekea Jordan!
Eric Buyanza
March 5, 2024
Share :
Mwaka 2020 mtoto wa kiume wa miaka 4 alikutwa na maafisa wa UNHCR akitembea mwenyewe katikati Jangwa akitoka Syria kama mkimbizi kuelekea nchini Jordan.
Kitu pekee alichokuwa amebeba mtoto huyu ni mfuko wa plastiki uliokuwa na nguo za mama yake na za dada yake waliofariki vitani nchini Syria.