pmbet

JE, WAJUA: Hakuna kocha muingereza aliyewahi kushinda taji la Ligi Kuu (Premier League)

Eric Buyanza

May 7, 2024
Share :

Ni ukweli mchungu lakini hauna budi kusemwa, ni hiviiii licha ya historia yao kwenye ulimwengu wa soka duniani, na majivuni mengi waliyonayo waingereza linapokuja swala la kandanda, lakini hakuna kocha muingereza (English Manager) aliyewahi kunyakua taji la Ligi Kuu (Premier League). 

Waliowahi kufanya hivyo na;

WASKOTISH 2 (Alex Fergusson, Kenny Dalglish)
WAITALIANO 4 (Conte, Ancelloti, Ranieri, Manchini)
MHISPANIA 1 (Pep Guardiola)
MRENO 1 (Jose Mourinho)
MCHILE 1 (Manuel Pellegrini)
MFARANSA 1 (Arsene Wenger)
MJERUMANI 1 (Jurgen Klopp)

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet