JE, WAJUA: Hana mikono wala miguu, lakini apanda Mlima Kilimanjaro bila usaidizi
Eric Buyanza
April 17, 2024
Share :
Licha ya kutokuwa na miguu wala mikono lakini Kyle Maynard kutoka nchini Marekani mwaka 2012 aliwashangaza wengi kwa kufanikiwa kupanda Mlima Kilimanjaro bila usaidizi.
Kyle alitumia siku 10 kupanda urefu wa mita 5895 za Mlima huo mrefu zaidi barani Afrika.