JE, WAJUA: Hayati Mzee Mwinyi utotoni wazazi wake walimpa jina la 'Sihaba'
Eric Buyanza
March 2, 2024
Share :
JE, WAJUA
Mzee Mwinyi utotoni alipewa na wazazi wake jina la 'Sihaba'.
Walimpa jina hilo likiwa na maana ya shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwajaalia mtoto wa kiume.
Wazazi wake mpaka anazaliwa yeye walikuwa na watoto wa kike tu.