JE WAJUA: Henry Fischel, ndiye mvumbuzi wa mitihani mashuleni
Eric Buyanza
July 18, 2024
Share :
Henry Fischel aliyezaliwa 20 November mwaka 1913 mjini Bonn nchini Ujerumani, alikuwa ni mwanafalsafa, mwandishi wa riwaya na pia mwalimu wa vyuo vikuu.
Bwana Henry alikuwa mtu wa kwanza kuvumbua mitihani na ndiye aliyebuni dhana nzima ya kusoma kwa ajili ya kufanya mitihani.
Mwishoni mwa karne ya 19 Henry Fischel alianzisha mtihani wa kwanza nchini China, (Mtihani wa Imperial).
Mtihani huo ulikuwa wa kuchagua wanafunzi wanaostahili kufanya kazi serikalini ambao ulilenga kupima uelewa wa mtahiniwa wa somo husika kama ilivyo leo.