pmbet

JE, WAJUA: Iddi Amin Dada aliwahi kuwa bingwa wa ngumi!

Eric Buyanza

March 14, 2024
Share :

Aliyekuwa Rais wa tatu wa Uganda, Iddi Amin Dada mwaka 1951 akiwa mwanajeshi wa kawaida chini ya mkoloni wa kiingereza, alikuwa bingwa wa ndondi uzito wa (Light Heavy Weight), taji ambalo alilishikilia hadi mwaka 1960. 

Wakati wa maisha yake ya ndondi, hakuwahi kupoteza pambano.

 

Iddi Amin alifariki mwaka 2003 akiwa uhamishoni nchini Saudi Arabia akiwa na umri wa miaka 74.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet