pmbet

JE, WAJUA: Jamaa aliiba benki, akiwatisha kwa Parachihci linalofanana na bomu!

Eric Buyanza

March 22, 2024
Share :

Huko nchini Israeli mwaka 2019 lilitokea tukio moja la ajabu lililostaajabisha wengi.

Mwanaume mmoja alivamia Benki mbili na kupora kiasi cha dollar 12,000 (sawa na shilingi milioni 30 na ushee za kitanzania kwasasa).

Cha ajabu kuliko vyote ni kwamba, jamaa alifanikisha uhalifu huo akiwatisha walinzi na wafanyakazi wa benki hiyo kwa kutumia Parachichi linalofanana na bomu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet