pmbet

JE, WAJUA: Kanisa kubwa zaidi Afrika lilikuwa nchini Somalia?

Eric Buyanza

February 22, 2024
Share :

JE, WAJUA?
 

Kanisa maarufu la kikatoliki nchini Somalia (Mogadishu Cathedral) lilijengwa mwaka 1928, na lilikuwa kubwa zaidi barani Afrika.

Hata hivyo kanisa hilo liliharibiwa mwaka 1991 baada ya serikali ya Somalia kupinduliwa.
 

Askofu wa mwisho aliyeongoza kanisa hilo aliitwa Salvatore Colombo ambaye aliuawa mwaka 1989 akiwa kanisani.
 

Padre Colombo, ambaye alikuwa na umri wa miaka 66 alipouawa na alizikwa mjini Mogadishu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet