JE, WAJUA: Kikombe kimoja tu cha kahawa hii kutoka Japan ni shilingi 854,390/=
Eric Buyanza
April 18, 2024
Share :
Kahawa ya Topica kutoka nchini Japan, ndiyo inayouzwa bei ghali zaidi nchini Uingereza kwenye mgahawa wa 'SHOT'.
Wapenzi wa kahawa wanaweza kujipatia kikombe kimoja cha kahawa hiyo kutoka mji wa Okinawa kwa gharama ya Pauni 265 sawa na shilingi 854,390.