JE WAJUA: Lina Media ndiye mama mdogo kuwahi kutokea, alijifungua mtoto akiwa na miaka 5!
Eric Buyanza
April 1, 2024
Share :
Mnamo tarehe 14 May mwaka 1939 huko nchini Peru, binti mdogo wa miaka 5 aliyefahamika kwa jina la Lina Media aliingia kwenye vitabu vya historia.
Linah alipata ujauzito na kujifungua akiwa na umri wa miaka 5 na kuingia kwenye rekodi za kuwa mama mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea.