pmbet

JE WAJUA: (Matsutake) ndio uyoga ghali zaidi duniani, nusu kilo huuzwa milioni 1.3

Eric Buyanza

April 4, 2024
Share :

Uyoga aina ya (Matsutake) wa nchini Japan ndio uyoga wenye gharama kubwa zaidi duniani ambapo nusu kilo huuzwa kwa Dollar 500 (sawa na shilingi milioni moja na laki tatu za kitanzania).
 

Uyoga wa Matsutake, huota pia maeneo Korea, china na hata Marekani, lakini ule unaovunwa eneo la Kyoto nchini Japan ndio unaoheshimiwa na wenye bei kubwa zaidi.
 

Inaelezwa kuwa 'Matsutake' ya Kijapani huthaminishwa kutokana na harufu, umbile na ladha yake iliyo ya tofauti kabisa kwa mujibu wa watumiaji.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet