JE WAJUA: Messi anamiliki viatu vingi vya dhahabu kuliko mchezaji mwingine yeyote ktk historia
Eric Buyanza
July 26, 2024
Share :
Mchezaji wa Argentina Lionel Messi ndiye mchezaji aliyeshinda viatu vingi vya dhahabu kuliko mchezaji mwingine yeyote katika historia.
Mchezaji huyo ana viatu vya dhahabu 6, alivyochukua mwaka 2010, 2012, 2013, 2017, 2018 na 2019