JE WAJUA: Mohamed Ali alimfwata Sadam na kuokoa mateka 15 wa Marekani
Eric Buyanza
February 26, 2024
Share :
JE WAJUA
Novemba mwaka 1990 aliyekuwa bingwa wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani, Muhammad Ali, aliokoa maisha ya mateka 15 wa Marekani waliokuwa wakishikiliwa nchini Iraq.
Ali akiwa peke yake alijitolea kwenda Iraq na kufanya mazungumzo na Saddam Hussein, akipuuza maonyo aliyopewa kutoka kwa serikali ya marekani pamoja familia yake.