JE WAJUA: Mwaka 1962, Bruce Lee alimaliza pambano kwa sekunde 11
Eric Buyanza
April 8, 2024
Share :
Bruce Lee atakumbukwa kama mkali wa mchezo wa Karate duniani aliyefanya vyema sana kwenye filamu mbalimbali miaka ya nyuma.
Tukio ambalo halitasahaulika ni lile la mwaka 1962, pale Bruce Lee alipompiga mpinzani wake ngumi 15 za chapchap na teke moja tu na kumaliza pambano lililochukua sekunde 11.