JE WAJUA: Mwaka 2018 Rapa 50 Cent alinunua tiketi 200 show ya Jarule na kukaa mwenyewe
Eric Buyanza
January 17, 2024
Share :
Mwaka 2018 Rapa 50 Cent aliwahi kununua tiketi 200 za viti vya mbele kwenye tamasha la mwanamuziki mwenzake Jarule...kisha akakaa yeye mwenyewe.
Nia ya 50 Cent ilikuwa ni kuonesha watu kuwa show hiyo ya Jarule haikujaza, ikumbukwe ya kwamba miaka hiyo marapa hawa walikuwa kwenye upinzani mkubwa.