pmbet

Je wajua? Ronaldo amemuacha Messi siku 869, Cristiano Jr akimuacha Thiago siku 869

Sisti Herman

April 11, 2024
Share :

Je wajua? Utofauti wa siku za kuzaliwa kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ni siku 869, kadhalika na watoto wao wa kwanza Cristiano Jr na Thiago Messi.

Iko hivi, Cristiano Ronaldo amezaliwa 05/02/1985 huku Messi akizaliwa 24/06/1987, utofauti ni siku 869.

Halafu, Cristiano Jr amezaliwa 17/06/2010 huku Thiago Messi akizaliwa 02/11/2012, utofauti ni siku 869.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet