JE, WAJUA: Sheffield F.C. ndio Klabu Kongwe kuliko zote duniani
Eric Buyanza
May 25, 2024
Share :
Klabu ya Soka ya Sheffield, iliyoanzishwa mwaka 1857 ndiyo inayoshikilia rekodi inayotambuliwa na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) na FIFA kama klabu kongwe zaidi ya kandanda duniani ambayo bado inacheza kandanda la vyama.