pmbet

Je, wajua? Usingizi unasafisha "uchafu kwenye ubongo"

Eric Buyanza

August 1, 2026
Share :

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Rochester wakiongozwa na Dkt. Maiken Nedergaard, uligundua kuwa sababu kuu ya kibaolojia inayotufanya tulale ni kuruhusu ubongo ujisafishe sumu zilizokusanyika mchana kutwa.

 

Watafiti waligundua mfumo uitwao 'Glymphatic System' ambao unafanya kazi kama "gari la taka" la ubongo.

 

Unapolala usingizi mzito, seli za ubongo zinasinyaa kwa asilimia 60, na kuruhusu majimaji maalum (cerebrospinal fluid) kupita kwa kasi na kusafisha sumu zote (ikiwemo protini ya Amyloid-beta inayosababisha ugonjwa wa kusahau wa Alzheimer's). Usipolala, uchafu huu unabaki na unachoka akili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet