JE WAJUA: Wagiriki wa kale waliwaheshimu sana wanaume wenye maumbile madogo!
Eric Buyanza
April 1, 2024
Share :
Enzi za Wagiriki wa kale wanaume wenye maumbile ya kiume (madogo) walikuwa ni wenye kuheshimiwa na kuonekana nadhifu na wenye akili, wakati wale wenye maumbile ya kiume (makubwa) walikuwa wakidharaulika na kuonekana kama majitu ya kutisha.