pmbet

Je wajua, wanaume pia hupata saratani ya Matiti

Eric Buyanza

February 3, 2024
Share :

Daktari Catherine Nyongesa wa kituo cha matibabu ya saratani cha Texas Cancer Centre jijini Nairobi anasema kuwa saratani ya matiti ni mojawapo ya aina ya saratani inayoongoza nchini Kenya, lakini wanaume wanaathirika kwa asilimia 3 pekee ikilinganishwa na 96% kwa wanawake.
 

Ugonjwa wa saratani ya matiti kwa wanaume bado haujaeleweka katika jamii licha ya kwamba wanaume wengi wanaweza kuupata, tatizo ni kwamba, hugundulika wengi wakiwa wamechelewa zaidi
.

Hii ni kwa sababu wanaume wengi hawapendi kwenda kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu.
 

"Kile kinachosababisha saratani hii kwa wanaume bado hakijabainika, lakini kinakisiwa kuwa ni hali ya mazingira".

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet