pmbet

Jela kwa kuwafungia watoto ndani ya nyumba toka mwaka 2021

Eric Buyanza

May 21, 2026
Share :

Huko nchini Spain wanandoa wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuwafungia watoto wao watatu ndani kwa takriban miaka minne kutokana na hofu kubwa ya kupata ugonjwa wa Corona.

 

Christian Steffen na Melissa Steffen waliwatenga na ulimwengu watoto wao watatu toka mwishoni mwa 2021 hadi Aprili 2025.

 

Wakati mamlaka zinawaokoa, watoto hao walikutwa katika hali mbaya ya kimwili na kiakili...ambapo mmoja wao alionekana kushangazwa mno na hali aliyoikuta nje huku camera zikimuonyesha akipiga magoti na kushangaa nyasi za nyumba yao kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet