pmbet

Jela yamnyemelea 'Diddy'

Eric Buyanza

December 7, 2023
Share :

Huenda Rapa na mfanyabiashara Sean 'Diddy' Combs akawa matatani kutokana na tuhuma za Unyanyasaji wa kingono zinazozidi kuibuliwa dhidi yake, licha ya yeye kukanusha.
 

Hali hiyo inafuatia Mwanamke mwingine ambaye hajatajwa jina kufungua kesi akimtuhumu Diddy kuwa alishirikiana na wenzake kumfanyia Ukatili wa Kingono mwaka 2003 wakati akiwa na miaka 17 na Diddy akiwa na miaka 34.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet