pmbet

Jennifer Lopez na Ben Affleck wakubaliana kuachana kwa amani.

Joyce Shedrack

January 8, 2025
Share :

Mastaa wa Uigizaji kutoka Marekani Jlo na Muwewe Ben Affleck jana walikabidhi hati ya makubaliano yakuacha rasmi Los Angeles Superior Court na kinachosubiiriwa ni Jaji kusaini hati yao kwenye tarehe 20 feb 2025.

Wasanii hawa wenye umaarufu mkubwa Duniani walishawahi kuwa na mahusiano ya nje ndani zaidi ya miaka 20 na walirudiana tena na kufunga ndoa rasmi Las Vegas in July 2022.

Ndoa hii imeshavunjika bila kuonesha msuguano katika jamii na wamekubaliana kugawana 50\50 kwenye biashara zao, ikiwemo kampuni ya filamu ambapo waliweka nguvu kubwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet