pmbet

Jentrix Shikangwa apewa 'Thank You' Simba Queens.

Joyce Shedrack

June 29, 2026
Share :

Klabu ya Simba Queens imetangaza rasmi kuachana na mshambuliaji wao kinara raia wa Kenya Jentrix Shikangwa ambaye hatakuwa sehemu ya mabingwa hao wa Nchi msimu ujao.

Kenyan striker Jentrix Shikangwa has agreed to join Egyptian club FC Masar  on a two-year contract following her departure from Tanzania's Simba  Queens. She is a member of the Kenya women's national

Kwa mujibu wa tetesi nyota huyo ambaye kwa mara ya kwanza alijiunga na Simba Queens September 27,2022 anatarajia kujiunga na Al Masr ya ligi kuu Nchini Misri baada ya kupata ofa nono ambayo ameshindwa kuipangua.

Shikangwa amekuwa na mchango mkubwa wa mafanikio ndani ya Simba Queens msimu wake wa kwanza 2022-2023 alifunga magoli 17 Msimu wa 2023-2024 alifunga mabao 12,Msimu wa 2024-2025 mabao 24 na msimu uliomalizima alifunga mabao 16 akiisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa ligi.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet