pmbet

Jeshi la kongo latangaza kuudhibiti tena mji wa minembwe

Eric Buyanza

June 19, 2026
Share :

Baada ya mapigano makali, jeshi la Kongo ladai limedhibiti Minembwe tangu Jumatano jioni na Twirwaneho wamekimbia, lakini wakaazi wanakanusha taarifa hiyo huku.

 

Kwa mujibu wa vyanzo vya kijeshi, kutekwa kwa baadhi ya maeneo ya Minembwe ni matokeo ya mashambulizi makali yaliyofanywa na jeshi la Kongo kwa msaada wa vikundi vya kujilinda vya Wazalendo. Minembwe ni eneo la kimkakati kwa jeshi la Kongo kwa sababu ya uwanja wake mdogo wa ndege ambao jeshi la Kongo limesema uliwezesha usafirishaji wa ndege kati ya Minembwe na Rwanda.

 

Ingawa sehemu ya uwanja huu mdogo wa ndege ilishambuliwa kwa bomu mwaka jana na jeshi la Kongo kwa sababu za kiusalama.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet