Jeshi la Mnyama latua salama Eswatini.
Joyce Shedrack
October 16, 2025
Share :
Kikosi cha klabu ya Simba kimewasili salama Nchini Eswatini usiku huu walipoenda kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotspurs.
Mchezo huo wa mkondo wa kwanza utachezwa siku ya jumapili saa 10 kamili Jioni.