pmbet

Jeshi la Sudan limemuua kamanda wa RSF, Ali Yagoub Gibril

Eric Buyanza

June 15, 2024
Share :

Jeshi la Sudan limetangaza kumuua Ali Yagoub Gibril, kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kijeshi la Rapid Support Forces (RSF). Kamanda huyo aliuawa wakati wa mapigano kwenye mji uliozingirwa wa Al-Fashir kaskazini mwa Darfur. 

Jeshi la Sudan limesema katika taarifa kuwa Yacoub aliuawa wakati shambulizi la RSF lilipozimwa mapema Ijumaa. RSF wamekuwa wakiuzingira mji wa Al-Fashir, wenye wakazi milioni 1.8 kwa wiki kadhaa sasa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet