Jeshi la Wananchi 26 lililosafiri kwenda Sauzi
Sisti Herman
April 2, 2024
Share :
Msafara wa wachezaji 26 na viongozi 12 wa benchi la ufundi la Yanga umesafiri leo asubuhi kwenda Pretoria nchini Afrika kusini kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi Mamelodi Sundowns utakaochezwa Ijumaa, Aprili 5, kwenye uwanja wa Loftus Versfeld.
Hiki hapa kikosi kizima kilichokwea 'pipa' kuelekea kwa 'Madiba'
Kipa;
01 ◉ Djigui Diarra
02 ◉ Aboutwalib Mshery
03 ◉ Metacha Mnata
Mabeki;
04 ◉ Bakari Mwamnyeto
05 ◉ Ibrahim Bacca
06 ◉ Dickson Job
07 ◉ Yao Attohoula Kouasi
08 ◉ Nickson Kibabage
09 ◉ Joyce Lomalisa
10 ◉ Gift Fred
11 ◉ Kibwana Shomari
Viungo ;
12 ◉ Khalid Aucho
13 ◉ Zawadi Mauya
14 ◉ Salum Abubakar
15 ◉ Jonas Mkude
16 ◉ Mudathir Yahya
17 ◉ Maxi Nzengeli
Viungo washambuliaji;
18 ◉ Pacome Peodoh Zouzoua
19 ◉ Stephane Aziz Ki
20 ◉ Augustine Okrah
21 ◉ Mahlatse Skudu Makudubela
22 ◉ Farid Mussa
23 ◉ Denis Nkane
Washambuliaji ;
24 ◉ Clement Mzize
25 ◉ Joseph Guede
26 ◉ Kennedy Musonda