pmbet

Jeshi la Wananchi limewasili salama Botswana.

Joyce Shedrack

September 2, 2026
Share :

Kikosi cha wananchi kimewasili salama Nchini Botswana kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa kwanza wa Kimataifa dhidi ya Gaborone United.

Wananchi watacheza mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika siku ya Jumamosi majira saa 2 usiku.


 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet