Nyota wa Taifa Stars Simon Msuva akiwa amevaa jezi za timu mbili hasimu za Dar es Salaam, Simba na Yanga.
Je uzi upi umempendeza Msuva kati ya wa Simba na Yanga?