Jezi mpya Man Utd balaa tupu...!
Sisti Herman
July 1, 2024
Share :
Klabu ya Manchester United ya ligi kuu Uingereza imezindua jezi mpya kwaajili ya msimu wa 2023/24.
Jezi mpya za Man Utd zimeonekana kuwa na ubunifu tofauti na za msimu jana huku pia zikiwa na wadhamini tofauti eneo la mbele, kutoka 'Team-Viewer na sasa 'Snapdragon'.
Mashabiki wengi wa timu hiyo wamezisifia sana jezi hizo zilizobuniwa na kampuni ya Adidas.