Shirikisho la mpira wa miguu nchini Ureno (FPF) limetoa taarifa kuwa litaistaafisha rasmi jezi namba 7 na haitatumika tena endapo Cristiano Ronaldo atastaafu kucheza soka la kimataifa rasmi.