Jide amshukuru Mungu kuyakabili mapito bila kula unga!
Eric Buyanza
December 13, 2023
Share :
Kupitia mtandao wake wa X (Twitter) malkia wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jay Dee amemshukuru Mungu kuweza kuyakabili mapito yake ya maisha aliyoyapitia bila kutumia madawa ya kulevya.
Ameanidka:
"Nashukuru Mungu alinipa ujasiri wa kukabili mapito yangu bila kuingia kwenye biashara za kula Unga na kuanza kumlaumu kila mtu. Lord i thank you" 🙏🏾.