pmbet

Jiji lililopakana na msitu hatari Amazon

Sisti Herman

August 17, 2025
Share :

 

Huko Brazili, ukingo wa jiji la Manaus hukutana na Msitu hatari zaidi wa Amazoni katika mstari ulionyooka unaovutia. 

Kwa upande mmoja, mitaa ya jiji mizuri iliyopangiliwa na kwa upande mwingine, msitu mnene usio na mwisho wenye kijani kibichi unaoashiria moja ya mfumo wa ikolojia wa unaovutia zaidi Duniani.

Mgawanyiko huu mkali upo kwa sababu sehemu kubwa ya msitu unaozunguka Manaus ni ardhi iliyolindwa, na hivyo kutengeneza mpaka unaoonekana kati ya maendeleo ya binadamu na msitu huo ambao haujaguswa.

Mahali pa mji huo ndani kabisa ya Amazon hufanya kuwa kituo cha nadra cha mijini kilichozungukwa na msitu muhimu zaidi la sayari.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet