Jina la "Kaka" nimeanza kuitwa na mdogo wangu - Ricardo Kaka
Sisti Herman
June 20, 2024
Share :
"Mwanzo halikuwa sehemu ya jina langu, nina mdogo wangu wa kiume, kila ninapokuwepo yeye pia huwepo, huwa haniiti jina, amekuwa akiniita "kaka" na kuanzia hapo ndipo jina la "kaka" lilipoanzia"
Nukuu ya kiungo mshambualiaji wa Brazil na mshindi wa tuzo ya Ballon D'or mwaka 2007, Ricardo Kaka.