pmbet

Jinamizi la kujifunga klamuandama Benzema Saudia

Sisti Herman

February 23, 2024
Share :

Nyota wa zamani wa Real Madrid na Ufaransa Karim Benzema ameandamwa na mkosi wa kujifunga mabao tangua ahamie ligi ya Saudia akiwa na klabu ya Al Ittiahad baada ya jana kujifunga tena kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa AFC Champions League dhidi ya Navbahor, kina Benzema wakishinda 2-1.

Karim Benzema amejifunga kwa mara ya pili ambapo jana alianza kwa kuwatanguliza Navbahor dakika ya 25 kabla ya Hamdallah kusawazishq kabla ya mapumziko.

 

Mechi alizojifunga hadi sasa.

 

1. Dhidi ya Al-Taawoun [League]

2. Dhidi ya Navbakor [Asia Champions league ]

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet