pmbet

JKT Queens njia nyeupe kufuzu CAF Women Champions League

Sisti Herman

August 26, 2025
Share :

 

Mabingwa wa ligi kuu wanawake Tanzania, JKT Queens wanaowakilisha Tanzania kwenye michuano rasmi ya kimataifa wamepangwa kundi C kwenye michuano ya kuwania kufuzu michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika ukanda wa CECAFA.

JKT wamepangwa kundi C wakiwa na timu za Yei Joint Stars Fc ya Sudan Kusini na JKU Princesses FC ya Zanzibar.

Makundi mengine ni haya hapa chini

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet