pmbet

"Job siyo mzalendo... Nikifafanua nitamuua" - Kocha Stars

Sisti Herman

March 15, 2024
Share :

Kaimu kocha mkuu wa timu ya Taifa Tanzania amethibitisha sababu za kutomuita beki wa Yanga Dickson Job kwenye kikosi cha Taifa Stars kinachijiandaa na FIFA Series 2024 ni utovu wa nidhamu.

Hizi ni nukuu za kocha;

"Ambao wanaendelea kuzungumzia hilo swala hawamsaidii Job, nikielezea na mimi nitamvunja moyo, mimi sitaki kumzungumzia kwasababu namlinda"

"Job mchezaji mzuri, anakiwango kizuri anapaswa kuitwa, kafanya makosa nimempumzisha lakini nikielezea zaidi nitamuua"

"Anataka kucheza beki wa kati na kwa mahitaji yangu mimi yeye kucheza beki wa kati ni ngumu alikosa uzalendo"

Hemed amesema hayo akiongea na EFM.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet