Jol Master bila milioni 10 hafanyi Show
Sisti Herman
May 1, 2024
Share :
Msanii maarufu wa uigizaji na uchekeshaji nchini Juma Omary Laurent "Jol Master" kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kiwango cha chini cha malipo kwenye onyesho moja la "stand up comedy" kufikia zaidi ya shilingi milioni 10, chini ya kiwango hicho hawezi kufanya 'show'.
Je unadhani kwa umaarufu na thamani ya Jol Master anaweza kufikia kiwango hicho?