pmbet

José Mourinho atanganzwa kocha bora wa mwezi Oktoba

Eric Buyanza

November 9, 2026
Share :

Kocha mkuu wa Real Madrid, José Mourinho, ametunukiwa rasmi tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi wa Oktoba 2026 katika Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) kufuatia mwenendo wa kishindo wa kikosi chake.

 

Mourinho, maarufu kama "The Special One," amenyakua tuzo hiyo baada ya kuiongoza Real Madrid kupata ushindi wa 100% katika mechi zote za La Liga zilizochezwa mwezi Oktoba.


Katika kinyang'anyiro hicho, Mourinho aliwabwaga makocha wenzake waliokuwa wameteuliwa, Diego Simeone wa Atlético Madrid na Pellegrino Matarazzo wa Real Sociedad.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet