Joshua Mutale arithi Mikoba ya Chama Simba
Sisti Herman
July 1, 2024
Share :
Klabu ya Simba imemtambulisha aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Power Dynamos ya ligi kuu Zambia na timu ya Taifa ya Zambia Joshua Mutale kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka mitatu.
Mutale mwenye umri wa miaka 22 anatajwa kurithi mikoba ya Mzambia mwenzake Clatous Chama aliyetimkia Yanga.