Jude Bellingham aibukia kwenye hafla ya uzinduzi wa kinywaji cha Snoop Dogg
Eric Buyanza
July 19, 2024
Share :
Pichani Jude Bellingham akiwa na Snoop Dogg alipohudhuria hafla jijini London kwa ajili ya uzinduzi wa kinywaji kipya cha 'Gin & Juice' kinachomilikiwa kwa pamoja na marapa wakongwe duniani Dr Dre na Snoop Dogg.
Jina la kinywaji hicho limetoka kwenye wimbo wakongwe hao uitwao Gin & Juice uliotoka mwaka 1994 na kutingisha dunia.
Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mastar wengi wa dunia.