Juhudi za Man United kumpata Mbeumo zakwama, Bei yapanda
Eric Buyanza
July 17, 2025
Share :
Juhudi za Manchester United kumnunua Bryan Mbeumo zimekwama baada ya Brentford kuongeza bei hadi kufikia pauni milioni 70, huku Babu Sir Jim Ratcliffe akiwa hataki kulipa zaidi ya pauni milioni 65.
United walikuwa wakiamini kuwa ofa yao ya pauni milioni 65 ingewawezesha kumpata fowadi huyo mwenye umri wa miaka 25.
#TetesiZaSoka