pmbet

Justin Bieber anatarajia mtoto wa kwanza na mkewe, Hailey

Eric Buyanza

May 10, 2024
Share :

Mwanamuziki Justin Bieber na mkewe mwanamitindo Hailey kupitia kurasa zao za Instagram wametangaza kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

Mwakilishi wa Hailey alithibitisha kuwa mwanamitindo huyo ana ujauzito wa zaidi ya miezi sita, kulingana na CBS News.

Justin mara nyingi kupitia mitandao ya kijamii amekuwa akiongelea hamu yake ya kupata watoto na Hailey.

Wawili hao walifunga ndoa ya siri huko New York mwaka 2018.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet