Juventus na Napoli, kwenye vita ya kumsajii Mason Greenwood
Eric Buyanza
May 17, 2024
Share :
Napoli wanavutiwa na mshambuliaji wa Uingereza Mason Greenwood, ambaye kwasasa anakipiga Getafe kwa mkopo akitokea Manchester United.
Taarifa zinasema matamanio ya Napoli yanaweza kukabiliwa na ushindani mkubwa kutoka Juventus ambao pia wameonyesha nia kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22.