Juventus watamani kuongeza kandarasi ya Samuel
Eric Buyanza
January 10, 2024
Share :
Klabu ya Juventus wanajiandaa kwa mazungumzo na winga Muingereza Samuel Iling-Junior kujadili kuhusu kuongezwa kwa kandarasi.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20, mkataba wake wa sasa unakamilika mwaka 2025.